KCSE ONLINE

Esoma Online Revision Resources

Kuandika - Kiswahili Kidato Cha 1

Kazi ya ziada
Tafuta tahadhari zingine tano ambazo hukujifundisha katika somo hili na uambatanishe na michoro yake  na zingine ambazo haziambatani na michoro
Provide a printable worksheet for the student to DRAW.jpg.

Uandishi wa Ratiba
Umewahi kualikwa kwenye sherehe ya arusi?

Unakumbuka msururu wa yaliyotendeka?

Pasi kuwa na ratiba, ingekuwa vigumu watu

kuelekezwa na matukio kupangika hadi ikawa

harusi ya kufana. Kabla ya siku yako ya

sherehe, shuhudia inavyoandikwa ratiba.

Kielelezo cha Ratiba
Ifuatayo ni ratiba ya arusi;

Ratiba ya Arusi baina ya Bi. Hidaya na Bw. Fikirini:
Siku: Jumamosi
Tarehe: 27 Nov 2009
Mahali pa sherehe:
Kanisa la mtakatifu Francis wa Assisi, Mlaleoni 
Ukumbi wa Rahatele, Mlaleoni 

8.30 9.30 asubuhi:   Bi Arusi achukuliwa nyumbani kwa wazazi wake
9.30 10.00 asubuhi:    Safari kuelekea kanisani
10.00 10.30 asubuhi: Kufika kanisani na kujiandaa kwa ibaada
10.30 12.00 mchana:  Ibaada ya Arusi
12.00 12.30 mchana:  Kupiga picha
12.30 1.30 Mchana:   kuelekea kwenye ukumbi.
1.30 2.30 alasiri:      Mlo na vinywaji
2.30 3.30 alasiri:         Mawaidha:
Mwakilishi wa wazazi wa kuumeni
Mwakilishi wa wazazi wa kuukeni
Mwakilishi wa kanisa
Mwanakijiji
3.30 4.30 jioni:         Kutoa zawadi
4.30 5.00 jioni:      Kukata keki
5.00 5.15 jioni:      Kutoa shukrani
5.15 jioni:        Maombi ya kufunga sherehe na watu kufumukana

Zoezi 1 
Fasiri tahadhari zifuatazo zinawasilisha ujumbe gani?Majibu

 • zima taa
 • Wanyama wanavuka
 • Barabara inateleza
 • Chagua uhai

Shabaha
Kufikia mwisho wa somo, unatarajiwa uweze;
Kujeleza maana ya ratiba

Kueleza umuhimu wa ratiba

Kuonyesha vipengee vya ratiba,

Kuandika  ratiba kwa usahihi.

Je, Ratiba ni nini?
Ili kufanikisha sherehe kama hizo ni lazima kuwe na mpango maalumu ambao utafuatwa ndipo sherehe ziendeshwe vizuri. Mpango huu huitwa RATIBA. Yaani utaratibu unaoonyesha matukio yanayotarajiwa kutendeka (hatua kwa hatua) Hatua hizi hujikita kwa muda uliowekwa. Shughuli fulani huchukua muda mahususi ambao huandikwa kwenye ratiba. Kwa kifupi, ratiba huonyesha  jambo litakalofanywa, nani atakayehusika na wakati wa kutekeleza.

Ifuatayo ni ratiba ya arusi;

Ratiba ya Arusi baina ya Bi. Hidaya na Bw. Fikirini:
Siku: Jumamosi
Tarehe: 27 Nov 2009
Mahali pa sherehe: Kanisa la mtakatifu Francis wa Assisi, Mlaleoni 
Ukumbi wa Rahatele, Mlaleoni 

8.30 9.30 asubuhi:    Bi Arusi achukuliwa nyumbani kwa wazazi wake
9.30 10.00 asubuhi:     Safari kuelekea kanisani
10.00 10.30 asubuhi:   Kufika kanisani na kujiandaa kwa ibaada
10.30 12.00 mchana:  Ibaada ya Arusi
12.00 12.30 mchana:  Kupiga picha
12.30 1.30 Mchana:    kuelekea kwenye ukumbi.
1.30 2.30 alasiri: Mlo na vinywaji
2.30 3.30 alasiri: Mawaidha:
Mwakilishi wa wazazi wa kuumeni
Mwakilishi wa wazazi wa kuukeni
Mwakilishi wa kanisa
Mwanakijiji
3.30 4.30 jioni: Kutoa zawadi
4.30 5.00 jioni: Kukata keki
5.00 5.15 jioni: Kutoa shukrani
5.15 jioni: Maombi ya kufunga sherehe na watu kufumukana


Mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa Ratiba
Katika uandishi wa insha ya ratiba mambo yanayozingatiwa ni;-

 1. Kichwa cha ratiba
 2. Mahali pa sherehe
 3. Tarehe
 4. Mwili wa ratiba

Upande wa kushoto huandikwa saa ya kufanyika kwa tukio nao upande wa kulia tukio lenyewe linafuata hadi mwisho wa ratiba kulingana na matukio yalivyopangwa.

Ikumbukwe kuwa, uandishi wa ratiba hutegemea aina ya sherehe na muda uliotengwa. Muda hurejelewa kwa kuzingatia utaratibu wa usomaji saa wa kimataifa.


Zoezi
Hebu tazama picha zifuatazo kisha uzipange ukizingatia utaratibu wa matukio katika sherehe hii.
Present a mix up of a prize-giving ceremony in this order

 1. Hotuba ya mgeni wa heshima
 2. Maombi ya kufunga mkutano
 3. Wanafunzi kuketi ukumbini
 4. Matumbuizo
 5. Maombi ya kufungua sherehe
 6. Wazazi kufika
 7. Hotuba ya mwenyekiti, halmashauri ya shule
 8. Kutuzwa kwa zawadi
 9. Hotuba ya mwenykiti, jumuiya ya wazazi na walimu
 10. Kutoa shukrani
 11. Hotuba ya mwalimu mkuu

Majibu


3.  Wanafunzi kuketi ukumbini
6.  Wazazi kufika
5.  Maombi ya kufungua sherehe
4.  Matumbuizo
11.   Hotuba ya mwalimu mkuu
9.  Hotuba ya mwenyekiti, jumuiya ya wazazi na walimu
7.  Hotuba ya mwenyekiti, halmashauri ya shule
1.  Hotuba ya mgeni wa heshima
8.  Kutuzwa kwa zawadi
10.   Kutoa shukrani
2.  Maombi ya kufunga mkutano

 1. Provide reinforcement as hongera for correct order of events and jaribu tena for incorrect order.
 2. This should be organized in such a way that from the first event and every subsequent event there is a response.
 3. Allow two trials.


Shabaha
Kufikia mwisho wa somo hili uweze:-

 1. Kujeleza maana ya tahadhari
 2. Kutaja na kueleza sifa za matumizi ya lugha katika tahadhari
 3. Kufasiri ujumbe katika picha na alama za tahadhari
 4. Kueleza umuhimu wa tahadhari

Maana na matumizi ya Tahadhari
Zoezi ambalo tumekamilisha hapo awali linahusiana na alama za tahadhari.Tahadhari ni ujumbe unaotoa ilani au onyo kwa watu ili kuwatanabahisha kuhusu jambo fulani.Jambo tunalotanabahishwa nalo huenda likawa la hatari au jambo ambalo mtu hafai kulifanya kwani linaweza kuwa na madhara fulani. Aghalabu ujumbe katika tahadhari hutolewa kupitia kwa maneno yaliyoteuliwa kwa uangalifu na kuwekwa kwa muhtasari. Aidha,ujumbe huu hupitishwa pia kwa njia ya michoro, picha, alama au ishara.  Kwa mfano;


Tahadhari hizi zinatolewa kwa njia ya michoro au ishara.Tahadhari zinazotolewa kwa njia hii huweza kufupisha ujumbe mrefu ambao ungehitaji kuelezwa kwa maneno mengi. Hata hivyo, michoro na ishara hizi huhitaji kufasiriwa ili watu waelewe maana ya ujumbe unaowasilishwa.

Kwa upande mwingine, kuna tahadhari nyingine zinazopitishwa kwa njia maneno pekee ila michoro au ishara.Tahadhari kama hizi zimetamalaki katika pakiti za bidhaa tunazotumia manyumbani mwetu au pakiti za dawa kwa mfano.
Tahadhari huweza kuwekwa mahala maalumu ambapo tahadhari inahitajika na ambapo zitaonekana kwa urahisi. Mathalani tahadhari nyingi za barabarani huweza kuwekwa pahala palipo wazi na ambapo tahadhari hiyo inahitajika zaidi.Iwapo pana pahala penye mteremko,itawekwa kwani ndipo panafaa
Kwa upande mwingine, baadhi ya tahadhari huwekwa kwenye mavazi kama vile shatiMatumizi ya Lugha katika tahadhari
Lugha ya tahadhari ina sifa zifuatazo:-
Lugha ya tahadhari ni
sahili
Lugha huwa
rahisi kueleweka
Aghalabu maneno huandikwa kwa
herufi kubwa na kwa wino mzito
Mara nyingi huandikwa kwa
rangi nyekundu ili kutilia mkazo ujumbe unaowasilishswa.
Hutumia
viakifishi kama vile alama hisi au kiulizi ili kuujaliza ujumbe.Kazi ya Ziada
Tafuta tahadhari zingine tano ambazo hukujifundisha katika somo hili na uambatanishe na michoro yake  na zingine ambazo haziambatani na michoro

Zoezi 2
Kutokana na mifano ya tahadhari uliyopewa, jibu maswali yafuatayo kwa kusema kama ni kweli au si kweli


 1. Lugha ya tahadhari ni sahihi (kweli / si kweli)
 2. Onyo / ilani huandikwa kwa herufi kubwa na wini mzito (kweli / si kweli)
 3. Mara nyingi ilani haziambatani na mchoro (kweli / si kweli)
 4. Ilani / onyo hazieleweki kwa urahisi (kweli / si kweli)
 5. katika tahadhari za hatari, mchoro ya kuogofya hutumika (kweli / si kweli)

Majibu

 1. Kweli
 2. Kweli
 3. Si kweli
 4. Si kweli
 5. Kweli

This is a true or false exercise
Provide positive reinforcement for the correct answers applause and encouragement for the wrong answers jaribu tenaUtangulizi
Tazama picha ifuatayo na utaje inahusisha sherehe gani?


Je, Ratiba ni nini?
Ili kufanikisha sherehe kama hizo ni lazima kuwe na mpango maalumu ambao utafuatwa ndipo sherehe ziendeshwe vizuri.
Mpango huu huitwa
RATIBA.Yaani utaratibu unaoonyesha matukio yanayotarajiwa kutendeka (hatua kwa hatua)
Hatua hizi hujikita kwa muda uliowekwa.
Shughuli fulani huchukua muda mahususi ambao huandikwa kwenye ratiba.
Kwa kifupi,
ratiba huonyesha jambo litakalofanywa, nani atakayehusika na wakati wa kutekeleza.
Ratiba ya Arusi baina ya Bi. Hidaya na Bw. Fikirini:
Siku: Jumamosi
Tarehe: 27 Nov 2009
Mahali pa sherehe: Kanisa la mtakatifu Francis wa Assisi, Mlaleoni
Ukumbi wa Rahatele, Mlaleoni 8.30 - 9.30 asubuhi: Bi Arusi achukuliwa nyumbani kwa wazazi wake
9.30 - 10.00 asubuhi: Safari kuelekea kanisani
10.00 - 10.30 asubuhi: Kufika kanisani na kujiandaa kwa ibaada
10.30 - 12.00 mchana: Ibaada ya Arusi
12.00 - 12.30 mchana: Kupiga picha
12.30 - 1.30 Mchana: kuelekea kwenye ukumbi.
1.30 -2.30 alasiri:Mlo na vinywaji
2.30 - 3.30 alasiri: Mawaidha:
Mwakilishi wa wazazi wa kuumeni
Mwakilishi wa wazazi wa kuukeni
Mwakilishi wa kanisa
Mwanakijiji
3.30 - 4.30 jioni: Kutoa zawadi
4.30 - 5.00 jioni: Kukata keki
5.00 - 5.15 jioni: Kutoa shukrani
5.15 jioni: Maombi ya kufunga sherehe na watu kufumukana

Mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa Ratiba
Katika uandishi wa insha ya ratiba mambo yanayozingatiwa ni;-

Kichwa cha ratiba

Mahali pa sherehe

Tarehe

Mwili wa ratiba

Upande wa kushoto huandikwa saa ya kufanyika kwa tukio nao upande wa kulia tukio lenyewe linafuata hadi mwisho wa ratiba kulingana na matukio yalivyopangwa.

Ikumbukwe kuwa, uandishi wa ratiba hutegemea aina ya sherehe na muda uliotengwa.
Muda hurejelewa kwa kuzingatia utaratibu wa usomaji saa wa kimataifa.


Umuhimu wa Ratiba
Ratiba ni muhimu kwa sababu;
Hufahamisha shughuli za sherehe,
Hubainisha mfuatano wa shughuli,
Huonyesha mgawanyo wa muda,
Hufahamisha wanaopaswa kutenda majukumu fulani maalamu,
Huwawezesha wahusika kujiandaa ipasavyo,
Hujulisha, kwa ujumla, kiini cha sherehe,
Huhakikisha mtiririko mzuri wa shughuli na matumizi bora ya muda.


Order this CD Today to Experience the Full Multimedia State of the Art Technology!

For Best results INSTALL Adobe Flash Player Version 16 to play the interactive content in your computer. Test the Sample e-Content link below to find out if you have Adobe Flash in your computer.

Sample Coursework e-Content CD

Other Goodies for KCSE ONLINE Members!

Coursework e-Content CD covers all the topics for a particular class per year and costs 1200/- ( Per Subject per Class ).

Purchase Online and have the CD sent to your nearest Parcel Service. Pay the amount to Patrick 0721806317 by M-PESA then provide your address for delivery of the Parcel. Alternatively, you can use BUY GOODS TILL NUMBER 827208 Ask for clarification if you get stuck.

Install ADOBE Flash Player for Best Results

For Best results INSTALL Adobe Flash Player Version 16 to play the interactive content in your computer. Test the link below to find out if you have Adobe Flash in your computer.

Search

Subject Menu