KCSE ONLINE

e - Learning Solutions

Insha Bora

Kcse Online is your one stop website for Educational Resources Made for Students and Teachers by the Teachers. Browse the Categories to see what you get. 

 

VIDOKEZO VYA UANDISHI BORA

Mambo muhimu katika maandalizi na usahihishaji wa insha

Mwanafunzi anayejiandaa kuandika insha ya kuvutia hana budi kutilia maanani vipengele vifuatavyo. Mambo haya ndiyo hutiliwa maanani sana katika usahihisaji wa insha. a) Sura au mtindo wa insha

Sura au mtindo wa insha lazima uzingatiwe, kwa mfano;- Sura ya hotuba - Sura ya barua ya kirafiki - Sura ya barua rasmi. - Sura ya mjadala - Maelezo ya moja kwa moja - Ubunifu n.k. Iwapo mwanafunzi hatazingatia sura au mtindo unaostahili, atapoteza alama ya sura. b) Urefu wa insha

Ni muhimu mtahiniwa azoee kuandika insha kadhaa akizingatia urefu unaohitajika. Wengi wa wanafunzi huandika insha fupi mno. Kisha wao hupoteza alama kwa kutozingatia maagizo haya. c) Mpango / mtiririko wa mawazo - Mpango wa maandishi ya insha lazima uwe kwa aya zinazovutia.

Epuka aya ndefu au fupi sana.- Mawazo ya kazi ya mfehiniwa yawe ya kutiririka. Mawazo yasipangwe shaghalabaghala.- Hati ya mtahiniwa ni ima faima iwe ya kusomeka bila tatizo. Epuka kufutafuta. d) Hoja au yaliyomo au vipengele viwe zaidi ya sita

Baadhi ya watahiniwa hutoa hoja chini ya tano. Epuka kuandika hoja chache kwani utapoteza alama ya yaliyomo. e) Mapambo ya lnsha - Siri ya insha nzuri ni msamiati uliopambika na uliotumika vizuri.- Wengi wa wanafunzi hupachika msamiati mzito mzito bila makini. - Tumia msamiati wa kueleweka kwa urahisi ikiwezekana.- Msamiati kama:- Semi - ashbihi - Nahau - Majina ya makundi - Methali - Istilahi za taaluma - Tanakali za sauti -

Tashihisi n.k. f) Makosa ya sarufi na hijai - Tumia sentensi fupifupi itt kuepuka makosa ya sarufi.- Iga sentensi kutoka katika kitabu ulichokisoma.- Epuka kuwaza au kufikiNa kwa lugha ya mama na kuandika kwa kiswahili.- Usitumie maneno mengi kuelezea jambo.

Hi kuandika insha ya kuvutia ni lazima mwanafunzi afanye mazoezi mengi, ajipime' muda wa kuandika insha kama hiyo na mwalimu au mwenzake asahihishe kazi hiyo. Mazoezi ya mara kwa mara ndiyo siri ya kuboresha uandishi wa insha. Jaribul VIDOKEZO YA UANDISHI BORA

Past Exam Papers for KCPE and KCSE

We have an enourmous data quiz bank of past papers ranging from 1995 - 2014 . 

Quick Revision Booklets

Candidates who would want their papers remarked should request for the same within a month after release of the results. Those who will miss out on their results are advised to check with their respective school heads and not with the examination council. . 

Candidate benefit from our quick revision booklets which are comprehensive and how to tackle examination question methods. 

e-Content Digital Multimedia

As a supplementary to coursework content our e-library for digitized multimedia CDs while enhance and ensure that you never missed that important concept during the normal class lessons. It is a Do it Yourself Project

Other Goodies for KCSE ONLINE Members!

Buy 1 Coursework DVD Disc and get a FREE Gold membership plan for two consecutive years. This e-Content Digital CD covers all the topics for a particular class per year. One CDs costs 1200/- ( Per Subject per Class ).

Purchase Online and have the CD sent to your nearest Parcel Service. Pay the amount to Patrick 0721806317 by M-PESA then provide your address for delivery of the Parcel. Ask for clarification if in doubt.

Install ADOBE Flash Player for Best Results

For Best results INSTALL Adobe Flash Player Version 16 to play the interactive content in your computer. Test the link below to find out if you have Adobe Flash in your computer.

SAMPLE e-Content DVD