KCSE ONLINE

e - Learning Solutions

Kiswahili Booklets

Kcse Online is your one stop website for Educational Resources Made for Students and Teachers by the Teachers. Browse the Categories to see what you get. 

Kiswahili Booklet

Katika somo hili la matamshi, tutashughulikia vitate na vitanza ndimi.Vitate ni maneno yanayotatiza imatamshi.Utatanishi huu unatokana na; kukaribiana kimatamshi kwa sauti fulani.Mfano. posa poza.Mtamkaji kuathiriwa na lugha ya kwanza au lugha nyine;Mfano. mahali /mahari

Vitate

Vitanza ndimi

Sikiliza vitanza ndimi vifuatavyo kisha uvitamke. Sitasitasita kusisitiza kuwa sita na sita si sita. Vazi alilovua alivaa baada ya kulifua likamfaa sana. Makoti Alikoti alipohukumiwa, alipiga magoti na kulivua koti kortini. Juzijuzi mjuzi jasusi alikutana na mjusi akienda kumuona mchuuzi akichuuza mchuzi.

Himizo

Muundo ni sura au namna kitu kinavyoonekana kwa nje .Soma mahojiano yafuatayo kati ya mwandishi wa habari na mwanariadha huku ukizingatia muundo wa mahojiano yenyewe. Mwandishi: Hujambo dada? Mwanariadha: Sijambo. Mwandishi: Mimi ni Philip Okelo mwanahabari wa Shirika Utangazaji la Mambo Leo.IFA ZA MAZUNGUMZO

Nyimbo Wimbo ni utungo ulioundwa kwa maneno au sauti zilizoteuliwa kisanii na zenye utaratibu wa kimuziki.Sauti hizo hupanda na kushuka na kuibusha hisia fulani kwa mwimbaji na msikilizaji. Nyimbo hazizingatii kaida zote za ushairi kama ilivyo katika mashairi halisi.

WIMBO WA TAIFA

Umesikia na kuona nini ? Huu ni wimbo wa Taifa la Kenya, unaoimbwa katika shughuli rasmi za kitaifa kama vile :-katika sherehe na shughuli za kitaifa na kimataifa -wakati wa kupandisha bendera katika shule, vyuo na taasisi mbalimbali

umuhimu wa wimbo wa taifa la Kenya hutambulisha taifa letu huibua hisia za uzalendo hukuza umoja hukuza na kuendeleza utamaduni ni ombi kwa Maulana hufunza maadili huzindua wananchi

KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

Kusikiliza na kuzungumza ni stadi zinazoshirikisha shughuli za kimawasiliano na kimaingiliano kwa sababu mbalimbali katika miktadha tofauti tofauti na mazingira halisi.Katika kusikiliza na kuzungumza, matamshi yafaayo ni muhimu. Ufunzaji na ujifunzaji wa stadi hizi humpa mwanafunzi nyenzo za kuwasiliana, kuingiliana na kutagusana ili kutimiza mahitaji mbalimbali. Kwa mfano:

  1. Kujuliana hali
  2. Kupasha ujumbe
  3. Kuelimisha
  4. Kuelekeza
  5. Kuzindua/Kuhamasisha

Kuonya/kutahadharisha

7. Kuhimiza/kushawishi

8. Kuliwaza

9. Kutatua mizozo katika jamii

10

Kutumbuiza

Hitimisho Imetambulika wazi kuwa stadi ya kusikiliza na kuzungumza itakufaa sana maishani!

UTANGULIZI

Katika somo hili la matamshi, tutashughulikia vitate na vitanza ndimi.Vitate ni maneno yanayotatiza kimatamshi.Utatanishi huu unatokana na;* kukaribiana kimatamshi kwa sauti fulani.Mfano. posa ?poza.* Mtamkaji kuathiriwa na lugha ya kwanza au lugha nyine;Mfano. mahali /mahari

 

 

Past Exam Papers for KCPE and KCSE

We have an enourmous data quiz bank of past papers ranging from 1995 - 2014 . 

Quick Revision Booklets

Candidates who would want their papers remarked should request for the same within a month after release of the results. Those who will miss out on their results are advised to check with their respective school heads and not with the examination council. . 

Candidate benefit from our quick revision booklets which are comprehensive and how to tackle examination question methods. 

e-Content Digital Multimedia

As a supplementary to coursework content our e-library for digitized multimedia CDs while enhance and ensure that you never missed that important concept during the normal class lessons. It is a Do it Yourself Project

Other Goodies for KCSE ONLINE Members!

Buy 1 Coursework DVD Disc and get a FREE Gold membership plan for two consecutive years. This e-Content Digital CD covers all the topics for a particular class per year. One CDs costs 1200/- ( Per Subject per Class ).

Purchase Online and have the CD sent to your nearest Parcel Service. Pay the amount to Patrick 0721806317 by M-PESA then provide your address for delivery of the Parcel. Ask for clarification if in doubt.

Install ADOBE Flash Player for Best Results

For Best results INSTALL Adobe Flash Player Version 16 to play the interactive content in your computer. Test the link below to find out if you have Adobe Flash in your computer.

SAMPLE e-Content DVD