KCSE ONLINE

e - Learning Solutions

Knec Kcse Kiswahili Syllabus

Kcse Online is your one stop website for Educational Resources Made for Students and Teachers by the Teachers. Browse the Categories to see what you get. 

Knec Kcse Kiswahili Syllabus

KISWAHILI Examination Syllabus 102

* FORM 1 1. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

1. Matamshi bora 1. Kiimbo 2. Shadda 3. Irabu/vokali-/a/,/e/,/i/,/o/,/u/ 4. Konsonanti-/b/,/ch/,/d/,/dh/,/f/,/g/,/gh/,/h/,/j/,/k/,/l/,/m/,/n/,/ng/,/ny/,/p/,/r/,/s/,/sh/,/t/,/th/,/v/,/w/,/y/,/z/ 5. Ala za sauti/kutamkia 6. Namna ya kutamka na aina za sauti k.m ghuna,sighuna/hafifu,vipasuo,vikwamizo n.k 7. Silabi 8. Maneno 9. Vitate k.m baba,papa 10

Vitanza ndimi

2. Maamkizi na mazungumuzo 1. Maamkizi na mazungumuzo ya: (i)Nyumbani (ii)Dukani (iii)Mtaani (iv)Sokoni (v)Shuleni 2. Mahojiano k.m mwalimu na mwanafunzi 3. Mijadala k.m umoja na utangamano katika familia 4. Hotuba

3. Ufahamu wa kusikiliza 1. Ufahammu wa taarifa za kusikiliza

4. Kusikiliza na kudadisi

 1. Utangulizi wa fasihi:(i)Maana (ii)Aina
 2. Fasihi simulizi (i)Hadithi (ii)Semi (iii)Ushairi
 3. Maigizo:Yategemee shabaha na muktadha k.m

jandoni,sherehe za arusi n.k

2. SARUFI ZA MATUMIZI YA LUGHA

1. Lugha 1. Maana ya dhima ya lugha 2. Sauti (i)Irabu/vokali (ii)Konsonanti (iii)Mpangilio wa sauti katika silabi na maneno 3. Vipasho vya lugha:sauti-silabi-neno-sentensi

2. Aina za maneno 1. Aina za maneno(i)Nomino-N (ii)Vitenzi-T (iii)Viwakilishi-W (iv)Vivumishi-V (v)Vielezi-E(vi)Viunganishi-U(vii)Vihusishi-U(viii)Vihusishi-I 2. Kubainisha maneno katika tungo k.m Mtoto analia

3. Ngeli za nomino 1. A-WA,U-I,U-YA-YA-YA,LI-YA,KI-VI,I-ZI,I-I,U-ZI,U-U,KU, PA-KU-MU

4. Viambishi

 1. Maana
 2. Aina-awali -Tamati

5. Nyakati na hali

 1. Nyakati
 2. Hali
 3. Ukanushaji kutegemea

6. Mnyambuliko wa vitenzi

 1. Viambishi vya mnyambuliko
 2. Kauli Za vitenzi (i)Kutenda

(ii)Kutendewa(iii)Kutendeka(iv)Kutendana(v)Kutendea(vi)Kutendwa( vii)Kutendesha

7. Sentensi ya kiswahili

 1. Maana ya sentensi
 2. Mpangilio na uhusiano wa maneno kimantiki katika

sentennsi ya kiswahili 3. Muundo wa sentensi 4. Sentensi sahili -Upambanuzi wa sentensi sahili kuonysha muundo wake kwa njia ya mstari

8. Uakifishaji 1. Alama za kuakifisha: 1.Nukta/kitone/kikomo(

) 2. Mkato/kipumuo/kituo/koma(,) 3. Nukta mkato/semi koloni(;) 4.Nukta pacha/nukta mbili/koloni 5.Kiulizi/kiulizo(?) 6. Alama hisi(!) 7.Alama mtajo/za kunukuu/za usemi(\"\") 8.Mkwaju/mshazari(/) 9.Kistari kifupi(-) 10

Kistari (_) 11.Mstari 12.Ritifaa/kibainisha(\') 13.Mabano/vifungo/Parandesi(),[] 14..Herufi kubwa (H) na herufi ndogo(h) 15. Herufi nzito (Hh) 16.Herufi mlazo/italiki(Hh) 17.Nukta za dukuduku/mdikezo(

 

) 18. Kinyota(*) 9. Ukubwa na udogo

Umoja na udogo

3. KUSOMA

1. Kusoma kwa sauti 1. Sauti mwambatano k.m/kw/mb/mw/ng/nj/nd/n.k 2. Sentensi 3. Vifungu vya maneno na aya

2. Kusoma kwa ufahamu 3. Kusoma kwa kina

 1. Riwaya
 2. Tamthilia
 3. Ushairi
 4. Kusoma kwa mapana
 5. Matunizi ya maktaba
 6. Matumizi ya kamusi

4. KUANDIKA

1. Uandishi wa kawaida 1. Majibu ya ufahamu 2. Muhtasari 3. Imla 4. Uchambuzi wa maandishi mbalimbali

2. Utungaji wa kiuamilifu

 1. Maana na dhima ya utungaji
 2. Barua (i )Kirafiki (ii)Ramsi
 3. Ratiba kama vile ya sherehe ya kuzaliwa
 4. Tahadhari (i)Onyo (ii)Ilani
 5. Matangazo
 6. Maagizo/maelekezo
 7. Kujaza fomu,stakabadhi na orodha
 8. Taarifa
 9. Mahojiano na dayolojia

3. Uandishi wa insha 1. Maana na aina za insha (a)Picha (b)Mdokezo (c)Maelezo (d)Masimulizi

4. Utungaji wa kisanii

 1. Mashairi mepesi
 2. Hdithi fupi
 3. Vitendawili,mafumbo na chemsha bongo

* FORM 2 1. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMUZA

1. Matamshi bora 1. Silabi tatanishi km pa/ba,sa/sha,la/ra,cha/sha,za/sa n.k 2. Sauti tatanishi k.m b/mb,d/nd,g/ng,n.k 3. Vitate k.m kua/kuwa 4. Vitanza ndimi

2. Maamkizi na mazungumzo 3. Ufahamu wa kusikiliza 4. Kusiliza na kudadisi

2. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

 1. Misingi ya maneno
 2. Aina za maneno na migawanyo yake
 3. Aina za maneno
 4. Vivumishi
 5. Vitenzi
 6. Viwakilishi
 7. Vielezi

3. Vinyume 4. Nyakati na hali 5. Sentensi ya kiswahili 6. Mnyambuliko wa vitenzi 7. Uakifishaji 8. Usemi halisi na usemi wa taarifa 9. Uundaji wa maneno 10

Ukubwa na udogo 1. Ukanushaji 12. Umoja na wingi

3. KUSOMA

1. Kusoma kwa sauti 1. Sauti na maneno tatanishi k.m p/b,s/sh,l/r,ch/sh,s/z(papa /baba,tata/dada,susu/zuzu) 2. Vitate k.m kua/kuwa,pua/bua,vua/fua 3. Maneno tatanishi yenye sauti mwambatano k.m mbali/bali,kindani/kidani,buni/mbuni 4. Sentensi zenye maana tatanishi

2. Kusoma kwa ufahamu 3. Kusoma kwa kina

 1. Riwaya
 2. Ushari
 3. Tamthilia
 4. Kusoma kwa mapana
 5. Kusoma maktabani
 6. Matumizi ya kamusi

4. KUANDIKA

1. Uandishi wa kawaida 1. Majibu ya ufahamu ya maandishi 2. Muhtasari 3. Imla

2. Utungaji wa kiuamilifu

 1. Barua (i)Rasmi (ii)Mialiko (iii)Risala (iv)Simu
 2. Hotuba
 3. Ratiba k.m siku ya wazazi shuleni
 4. Matangazo
 5. Tahadhari (i)Ilani (ii)Onyo
 6. Maagizo/maelekezo
 7. Shajara
 8. Resipe
 9. Orodha ya mambo

10

Taarifa 11. Mahojiano 12. Dayolojia

3. Uandishi wa insha

 1. Maelezo
 2. Mazungumzo
 3. Mdokezo
 4. Methali

4. Utungaji wa kisanii

 1. Hadithi fupi
 2. Mashairi
 3. Michezo ya kuigiza

* FORM 3

1. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Maamkizi na mazungumzo

 1. Maamkizi ya heshima na mazungumzo katika mazingira
 2. Mahojiano kama vile baina ya watu wawili
 3. Mjadala kama vile umoja wa kitaifa
 4. Hotuba

2. Ufahamu wa kusikiliza 3. Kusikiliza na kudadisi 1. Dhima ya fasihi kwa jumla 2. Umuhimu wa fasihi simulizi 3. Muainisho wa fasihi simulizi

2. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

1. Omoja na wingi 1. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintaarafu ya: (a)Viulizi (b)Idadi (c)-A-unganifu (d)Virejeshi \'O\' na \'amba-\'(e)Visisitizi (f)Pekee (i)-enye (ii)-enyewe (iii)-ote (iv)-o-ote (v)-ine (vi)-ineo 2. Vielezi 1. Vielezi vya: (a)Namna (b)Wakati (c)Idadi/kiasi (d)Mahali 3. Viwakilishi 4. Mwingiliano wa maneno 5. Vitenzi

 1. Mzizi wa kitenzi
 2. Viambishi awali katika vitenzi
 3. Viambishi tamati katika vitenzi
 4. Vinyume vya vitenzi
 5. Hali ya kuamrisha
 6. Uundaji wa nomino
 7. Sentensi ya kiswahili
 1. Aina za (i)Virai (ii)Vishazi
 2. Muundo wa sentensi
 3. Aina za sentensi
 4. Uchanganuzi wa sentensi kwa njia ya: (i)jedwali

(ii)mchoro wa matawi (iii)mstari

8. Nyakati na hali

 1. Nyakati -LI-,-NA-,-TA-
 2. Hali ya,-KI-,-KA-,-A-,-PO-,-KU-
 3. Ukanushaji
 4. Uakifishaji
 5. Mnyambulik wa vitenzi

3. KUSOMA

 1. Kusoma kwa sauti
 2. Kusoma kwa ufahamu
 3. Kusoma kwa kina
 4. Kusoma kwa mapana

4. KUANDIKA

1. Uandishi wa kawaida 1. Majibu ya ufahamu na uchanganuzi 2. Muhtasari 3. Tahakiki za kazi za kisanii

2. Utungaji wa kiuamilifu

 1. Barua
 2. Ratiba k.m sherehe za arusi
 3. Taharadhi (i)Ilani (ii)Onyo
 4. Matangazo
 5. Maagizo/maelekezo
 6. Tawasifu
 7. Wasifu
 8. Resipe
 9. Kumbukumbu

10

Ripoti 11. Mahojiano na dayolojia 12. Kujaza fomu na hojaji 13. Insha za kitaaluma k.m makala ya redio na runinga

3. Uandishi wa insha 4. Utungaji wakisanii

 1. Michezo ya kuigiza
 2. Mikusanyiko ya kazi za fasihi simulizi
 3. Mashairi

* FORM 4 1. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA

 1. Maamkizi na mazungumzo
 2. Ufahamu wa kusikiliza
 3. Kusikiliza na kudadisi
 4. Sifa bainifu za fasihi simulizi na fasihi andishi
 5. Muanisho wa fasihi simulizi (i)semi (ii)Masimulizi

ya hadithi (iii)Mazungumzo 3. Maigizo kutegemea shabaha na miktadha 4. Ngomezi 5. Ushairi

2. SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA

1. Ngeli za nomino 1. Ngeli za nomino na upatanisho wa kisarufi kwa mintarafu ya: (i)Virejeshi \'O\' na \'amba\' (ii)Vivumishi 2. Aina mbalimbali za maneno

 1. Viunganishi
 2. Nomino
 3. Vitenzi
 4. Viwakilishi
 5. Vivumishi
 6. Vielezi
 7. Vihusishi
 8. Vihisishi

3. Mwingiliano wa aina mbalimbali za maneno k.m kivumishi kuwa nomino 4. Muundo wa sentensi ya kiswahili 5. Mnyamuliko wa vitenzi vya:

 1. Asili ya kigeni
 2. Silabi moja
 3. Asili ya kibantu

6. Nyakati na hali

 1. Nyakati: LI,NA.TA
 2. Hali:ME,HU,NGE,NGELI,NGALI,PO,A,KA,KI,KU
 3. Hali ya kuamuru
 4. Ukanushaji kutegemea nafsi

7. Uakifishaji 8. Uundaji wa maneno

 1. Nomino kutokana na mzizi wa nomino
 2. Nomino kutokana na mzizi wa kitenzi
 3. Kitenzi kutokana na mzizi wa nomino
 4. Kivumishi kutokana na mzizi wa nomino
 5. Nomino kutokana na mzizi wa kivumishi
 6. Kivumishi kutokana na mzizi wa kitenzi
 7. Kitenzi kutokanan na mzizi wa kivumishi
 8. Matumizi ya maneno na viambishi maalum

10

Umoja na wingi

3. KUSOMA

 1. Kusoma kwa sauti
 2. Kusoma kwa ufahamu
 3. Kusoma kwa kina
 4. Kusoma kwa mapana

4. KUANDIKA

1. Uandishi wa kawaida 1. Majibu ya ufahamu na uchanganuzi 2. Muhtasari 3. Tahakiki za kazi za kisanii

2. Utungaji wa kiuamilifu 3. Uandishi wa insha

 1. Masimulizi
 2. Mazungumzo
 3. Mawazo
 4. Maelezo

101 Knec English Syllabus 102 Knec Kiswahili Syllabus 121 Knec Syllabus 231 Knec Biology Syllabus 232 Knec Physics Syllabus 233 Knec Chemistry Syllabus 311 Knec History & Govt.Syllabus 312 Knec Geography Syllabus 313 Knec C.R.E. Syllabus 314 Knec I.R.E. Syllabus 441 Knec Syllabus 441 Knec Woodwork Syllabus 442 Knec Art and Design Syllabus 443 Knec Agriculture Syllabus 448 Knec Electricity Syllabus 451 Knec Computer Studies Syllabus 501 Knec French Syllabus 502 Knec German Syllabus 511 Knec Music Syllabus 565 Knec Studies Syllabus

Past Exam Papers for KCPE and KCSE

We have an enourmous data quiz bank of past papers ranging from 1995 - 2014 . 

Quick Revision Booklets

Candidates who would want their papers remarked should request for the same within a month after release of the results. Those who will miss out on their results are advised to check with their respective school heads and not with the examination council. . 

Candidate benefit from our quick revision booklets which are comprehensive and how to tackle examination question methods. 

e-Content Digital Multimedia

As a supplementary to coursework content our e-library for digitized multimedia CDs while enhance and ensure that you never missed that important concept during the normal class lessons. It is a Do it Yourself Project

Other Goodies for KCSE ONLINE Members!

Buy 1 Coursework DVD Disc and get a FREE Gold membership plan for two consecutive years. This e-Content Digital CD covers all the topics for a particular class per year. One CDs costs 1200/- ( Per Subject per Class ).

Purchase Online and have the CD sent to your nearest Parcel Service. Pay the amount to Patrick 0721806317 by M-PESA then provide your address for delivery of the Parcel. Ask for clarification if in doubt.

Install ADOBE Flash Player for Best Results

For Best results INSTALL Adobe Flash Player Version 16 to play the interactive content in your computer. Test the link below to find out if you have Adobe Flash in your computer.

SAMPLE e-Content DVD