KCSE ONLINE

e - Learning Solutions

Lugha Ya Kiswahili

Kcse Online is your one stop website for Educational Resources Made for Students and Teachers by the Teachers. Browse the Categories to see what you get. 

UKARABATI MATUMIZI YA LUGHA SARUFI MITUNGO MAKALA MAJIBU UAKIFISHI

Hii ni ile hali ya kukosoa makosa yaliyomo katika sentensi au kwenye makala. Kumbuka endapo uswalishwe swala la uakifishi angalia makosa kama vile alama za usemi, vituo, vikomo, viulizio, vishangao, n.k.

 1. Alama hisi (!)- hutumiwa kuonyesha mshangao au kustaajabu. k.m Lo! Hadi sasa hajafika!
 2. Mkato / koma / kipumuo (,) - Huashiria pumziko fupi katika sentensi.-

  Hutumiwa kutenganisha maneno yaliyo katika orodha k.m. shambani alileta maembe, mboga, maharagwe na mahindi.

  3. Nukta / kitone / kikomo (

  ) - Huonyesha kukamilika kwa sentensi.- Huonyesha ufupisho wa neno k.m Bi. (bibi), Bw. (bwana)

  4. Nukta za dukuduku ( ) - Huonyesha usemi usiokamilika k.m Akumulikaye mchana

  5. Mabano / parandesi / vifungo ( ) - Hutumiwa kufungia maneno au ufafanuzi wa kifungu au maneno yaliyotangulia k.m Hana uwezo (pesa) wa kujinunulia nguo.

  6. Kiulizi (?) - Huashiria sentensi ni swali.

  7. Alama za usemi / mtaio / kunukuu (" ") - Hutumika katika usemi halisi. k.m "Nitakuja kesho jioni." Abu alisema. 8. Nukta mkato (;) - Hutumika badala ya kiunganishi katika sentensi.

  9. Koloni / nukta pacha (:) - Huonyesha maneno katika orodha. k.m Naomba / uninunulie vitu hivi: sabuni, mishumaa,'chumvi na sukari.

  10 Mshazari (/) - Huleta maana ya ama au, sawa na. k.m mvulana.

  AINA YA MANENO

  1. Nomino) / majina (N) - Hutumika kumtaja mtu, kiumbe, kitu, mahali au hali fulani.
  2. Vivumishi (V) - Neno linalotoa maelezo kuhusu nomino au kiwakilishi cha nomino.

  Kuna vivumishi vya sifa k.m -zuri, -baya n.k.

  * Vivumishi vya idadi k.m. moja, mbili, tatu n.k

  * Vivumish; vya pekee k.m enye, enyewe, ote, o-ote.

  * Vivumishi vimilikishi k.m. angu, etu, ako, enu, ake-ao.

  * Vivumishi viulizi k.m pi?, ngapi?, gani? n.k.

  * Vivumishi vionyeshi au viashiria k.m. - huyu, hapa.

  3. Vitenzi (T) - Maneno yanayoarifu tendo au tukio lililotendeka, linalotendeka au litakalotendeka.

  4. Viwakilishi/vibadala (W) - Maneno yanayosimama badala ya nomino. Kiwakilishi kikitumiwa nomino huwa haitumiwi tena.

  5. Vielezi (E) - Maneno yanayofafanua au kueleza namna, wakati, mahali na idadi ambayo tendo fulani hutokea au hutendeka.

  6. Viunganishi (U) - Maneno yanayounganisha au yanayoleta pamoja maneno, vifungu au sentensi km. ni, lakini, wala n.k.

  7. Vihusishi (H) - Maneno yanayoonyesha uhusiano wa kitu na mahali kilipo au kinapopatikana k.m Juu ya, chini ya n.k. 8. Vihisishi / viingizi (I) - Huonyesha hisi za mtu za furaha, chuki, mshangao, kejeli n.k. K.m Lo!, Salaale!, Yarabi! n.k.

  Past Exam Papers for KCPE and KCSE

  We have an enourmous data quiz bank of past papers ranging from 1995 - 2014 . 

  Quick Revision Booklets

  Candidates who would want their papers remarked should request for the same within a month after release of the results. Those who will miss out on their results are advised to check with their respective school heads and not with the examination council. . 

  Candidate benefit from our quick revision booklets which are comprehensive and how to tackle examination question methods. 

  e-Content Digital Multimedia

  As a supplementary to coursework content our e-library for digitized multimedia CDs while enhance and ensure that you never missed that important concept during the normal class lessons. It is a Do it Yourself Project

  Other Goodies for KCSE ONLINE Members!

  Buy 1 Coursework DVD Disc and get a FREE Gold membership plan for two consecutive years. This e-Content Digital CD covers all the topics for a particular class per year. One CDs costs 1200/- ( Per Subject per Class ).

  Purchase Online and have the CD sent to your nearest Parcel Service. Pay the amount to Patrick 0721806317 by M-PESA then provide your address for delivery of the Parcel. Ask for clarification if in doubt.

  Install ADOBE Flash Player for Best Results

  For Best results INSTALL Adobe Flash Player Version 16 to play the interactive content in your computer. Test the link below to find out if you have Adobe Flash in your computer.

  SAMPLE e-Content DVD