KCSE ONLINE

one stop education solutions

Schemes

mwanafunzi uk 365

Mwongozo uk 182

4/5

kusoma

Fasihi

andishi:matumizi ya lugha katika hadithi fupi

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kutambua mbinu za sanaa katika hadithi fupi

(b)  Kufafanua mbinu za sanaa na thima yake katika hadithi

(c)  Kupanua kitembo chake cha msamiati na fani za lugha

Kusoma

Kueleza

Kujadili

Kuwasilisha utafiti

kuandika

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 191

Mwongozo wa mwalimu uk 142

Kichocheo cha fasihi simulizi na andishi

Mwongozo wa diwani teule

Diwani teule

Wanafunzi wenyewe

Ubao

6

kuandika

Uandishi wa simu au telegramu

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kueleza kanuni za uandishi wa telegram

(b)  Kuandaa mfano wa telegram halisi

Maswali ya dodoso

Tumia telegram halisi

Kuleza

Kuandika telegramu

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 193-194 Mwongozo wa mwalimu uk 143

Kamusi ya kiwahili

Insha kabambe (simon mutali)

Darubini ya Kiswahili ya

Kielezo halilsi cha telegram

Kielezo kwenye bango

ubao

kitabu cha mwanafunzi uk 208

Mwongozo uk 113

2

1

Kusoma

(ufahamu)

Maghani na aina zake

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze (a) kusoma

umuhimu na asili ya lugha

Kusoma

Kujadili

Kudodosa na kujibu maswali

kuandika

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 219-221 Mwongozo wa mwalimu uk 165166

Kamusi ya kiwahili

Kamusi ya methali

Kamusi ya misemo na nahau (K.W wamitila)

Mchoro kitabuni

Ubao

Chati (msamiati)

2

Kusikiliza

Maghani na aina zake

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kueleza maghani ni nini?

(b)  Kutaja na kufafanua aina za maghani

(c)  Kueleza vipinngamizi dhidi ya ukuaji wa Kiswahili Kueleza maneno mapya na kujibu

Kueleza

Kusikiliza

Kujadili na kuuliza maswali

Kuandika

kutafakari

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 185-187 Mwongozo wa mwalimu uk 138139

Fasihi simulizi kwa shule za sekondari

Mgeni mwalikwa

Wanafunzi wenyewe

ubao

maswali yote

Kichechocheo cha Fasihi simulizi na Andishi

Kamusi ya methali

Kamusi ya fasihi

3

Sarufi na matumizi ya lugha

Kundi nomino: kundi tenzi

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  kutambua kundi nomino na kundi tenzi

(b)  kuandika sentensi zenye KN na KT kwa usahihi

(c)  kujibu maswali kwa usahihi

kueleza

kusoma

kukandika madaftarini

kufanya zoezi

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 188-189 Mwongozo wa mwalimu uk 139140

Sarufi fafanuzi ya Kiswahili

Golden Tips Kiswahili

Chati

Ubao

Magazeti (Taifa leo)

4-5

Kusoma

Matumizi ya lugha katika hadithi fupi

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kueleza matumizi ya lugha katika hadithi fupi za diwani teule

(b)  Kubainisha umuhimu wa lugha katika kuendeleza dhamira na

Kusoma

Kueleza

Kujadili

Kuandika

Kutafiti zaidi (kazi ya ziada)

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 191-192 Mwongozo wa mwalimu uk 142

Kichechocheo cha Fasihi simulizi na

Diwani teule

Ubao

Wanafunzi wenyewe

Chati (lugha)

maudhui

Andishi

Kamusi ya methali

Kamusi ya fasihi

Kamusi ya misemo na nahau (K.W wamitila

6

Kuandika

Barua meme

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kutaja vijia mbali mbali za mawasiliano

(b)  Kueleza matumizi na muundo wa kuandika barua meme

Maswali ya dodoso

Kujadili

Kuandika madaftarini

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 188-189 Mwongozo wa mwalimu uk 139140

Karunzi ya kiwahili

Insha kabambe (simon mutali)

Kelezo halisi cha barua meme

Ubao

Chati

Magazeti (picha za mawasiliano)

Picha (vyombo vya

mawasiliano)

3

1

Kusoma

(ufahamu)

Mazoezi (marudio)

1.  Kifungu 3

2.  Kifungu 3

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kusoma vifungu vya ufahamu (mazoezi ya marudio na kujibu kwa usahihi)

(b)  Kupanua uwezo wake kukabili mtihani wa

Kusoma ghibu

Kuandika madaftarini

Kujadili majibu

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 233-240 Mwongozo wa mwalimu uk

Kamusi ya methali

Kamusi ya

Mwanafunzi mwenyewe

Ubao

Chati (misamiati)

ufahamu

kiswahili

Kamusi ya

misemo na nahau (K.W wamitila

2

Kusikiliza na kuzungumza

Soga

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kueleza na kutambua mtindo wa soga

(b)  Kutongoa soga darasani

(c)  Kufafanua umuhimu wa soga

Kueleza na kujadili

Kushiriki katika soga

kuandika

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 197

Mwongozo wa mwalimu uk 146147

Darubini ya Kiswahili 4. Kitabu cha mwanafunzi uk 314

Mwongozo wa mwalimu uk 158

Wanafunzi wenyewe

Ubao

Chati (mtindo wake)

3

Sarufi na matumizi ya lugha

Uchanganuuzi wa sarufi

Kufikia mwisho wa funzi mwanafunzi aweze

(a)  Kutaja aina na miundo mitatu mikuu ya sentensi

(b)  Kutaja na kueleza aina kuu tatu za kuchanganua sentensi (mistari, jedwali na matawi)

Kueleza

Kusoma

Kujadili vielezo

Kuchanganua sentensi

Kuandika madaftarini

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 198-200 Mwongozo wa mwalimu uk 147148

Karunzi ya kiwahili

Sarufi fafanuzi ya

Bango (vielezo vya uchanuzi)

Chati (aina)

Kiswahili

Golden Tips Kiswahili

4-5

Kusoma (fasihi)

Usulu, dhamira na maudhi katika mashairi

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kubainisha dhamira na maudhi ya shairi

(b)  Kueleza sifa na kanuni (arudhi) za sahiri la arudhi

(c)  Kubainisha hisia/falsafa tofauti tofauti za mashairi

Kueleza

Kuakariri shairi

Kusoma

kuandika

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 202-203 Mwongozo wa mwalimu uk 151

Kamusi ya misemo na nahau (K.W wamitila

Diwani ya mashairi (arudhi)

Wanafunzi wenyewe

ubao

6

kuandika

Ratiba

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  kueleza muundo na dhima ya ratiba

(b)  kueleza ratiba yoyote kwa sauti darasani

(c)  kuandika ratiba ya shughuli yoyote

kueleza

kujadili kielelezo

kutoa ratiba kwa sauti darasani

kuandika

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 216-218 Mwongozo wa mwalimu uk 164

Karunzi ya kiwahili

Insha kabambe (simon mutali chesebe)

Golden Tips Kiswahili

Nakala halisi za ratiba

Wanafunzi wneyewe

Ubao

4

1

Kusoma

(ufahamu)

Ufahamu wa jaribio la 3 na la 4

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kusoma kimoyomoyo na kuelewa ujumbe

(b)  Kujibu maswali kikamilifu na kwa usahihi

(c)  Kukuza imani yake kufaulu katika funzo la ufahamu

Kusoma ghibu

Kujibu maswali

Kusahisha na kujadili majibu

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 247-255 Mwongozo wa mwalimu uk 186198

Kamusi ya kiwahili

Kamusi ya methali

Kamusi ya misemo na nahau (K.W wamitila

Wanafunzi wenyewe

Uboa

Chati (msamiati)

2

Kusikiliza na kuzungumza

Fasihi simulizi mawaidha

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kufafanua maana ya mawaidha

(b)  Kutambua umuhimu wa mawaidha katika jamii

(c)  Kuigiza utoaji wa mawaidha

(d)  Kujibu maswali kikamilifu

Kueleza

Kujadili

Kuchanganua ubaoni

Kuandika madaftarini

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 188-189 Mwongozo wa mwalimu uk 139140

Fasihi simulizi kwa shule za sekondari

Kichechocheo cha Fasihi simulizi na Andishi

Darubini ya Kiswahili 4 uk 104

Chati (umuhimu wake)

Michoro ubaoni

Wanafunzi wenyewe

Magazeti

Hojaji ya utafiti

Picha ya wanaotoa mawaidha

3

Sarufi na matamuzi

Uchanganuzi wa sentensi ambatano

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kutambua viambajengo vya sentensi ambatano

(b)  Kueleza muundo wa kuchanganua sentensi ambatano (mistari, matawi, jedwali)

(c)  Kuchanganua sentensi ambatano

Kueleza

Kujadili

Kuchanganua ubaoni

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 210-213 Mwongozo wa mwalimu uk 160161

Kamusi ya kiwahili

Sarufi fafanuzi ya Kiswahili

Chati (uchananuzi

Michoro ubaoni

Wnanafunzi wenyewe

Magazi (sentensi) mbali mbali

4/5

Kusoma

(Fasihii)

Fasihi andishi: muundo namtindo katika mashairi

Kufiikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kueleza na kufafanua muundo na mtindo wa mashairi huru naya arudhi

(b)  Kutofautisha mundo na mtindo kishairi

(c)  Kujibu maswali ya mashairi kwa usahihi

Kueleza

Kujadili

Kughani

Kusoma

kuandika

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 214-215 Mwongozo wa mwalimu uk 162163

Kamusi ya misemo na nahau (K.W wamitila

Miale ya ushairi (NES)

Nuru ya ushairi

Mashairi kitabuni

Diwani ya mashairi

Ubao

Magazeti (tailfa leo)

Chati (mtindo, muundo)

6

Kuandika

Resipe (Ndizi za kuchemsha

Kufika mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a) Kueleza maana

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha

Vyakula halisi

Vielelezo vya resipe

Wanafunzi

wanafunzi 4 uk 232

Mwongozo wa mwalimu uk 174

Karunzi ya kiwahili

Golden Tips Kiswahili

Insha kabmbe (simon mutali)

wenyewe Ubao chati

5

1

Kusoma

(muhtasari

Vifungu vya ufupisho. Jaribio la I na II

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kufafanua hatua za kukabuli maswali ya ufupisho

(b)  Kusoma vifungu na kudondoa hoja muhimu

(c)  Kufupisha kwa usahihi

Kueleza

Kusoma na kujadili hoja

Kuandika madaftarini

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 233-240 Mwongozo wa mwalimu uk 175181

Kamusi ya kiwahili

Wanafunzi wenyewe

Ubao

2

Kusikiliza na kuzungumza

Fasihi simulizi au Fasihi ya Ngoma

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kueleza maana ya ngomezi

(b)  Kuorodhesha na kufafanua sifa za ngomezi

(c)  Kutaja ngoma mbali mbali na kuigiza za jamii zao

Kueleza

Kujadili

Kusoma kwa sauti na kusikiliza

kuigiza

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 233-240 Mwongozo wa mwalimu uk 175181

Fasihi simulizi kwa shule za

Wanafunzi wenyewe

Ubao

Chati (sifa zake)

Vitu halisi (kengele, ngoma, simu)

Picha ya magari ya

polisi/ambulansi

(d) Kueleza dhima ya ngomezi katika jamii

sekondari

Darubini ya Kiswahili 4. Uk 294

Kichechocheo cha Fasihi simulizi na Andishi

Kamusi ya fasihi

3

Sarufi na matumizi ya lugha

vihusishi

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kueleza maana ya vihusishi na kutaja mifano

(b)  Kutambua vihusishi tofauti tofauti na utendakazi wavyo

Kueleza

Kuigiza hisia mbalil mbali

Kusoma

kuandika

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 213

Mwongozo wa mwalimu uk 160

Kamusi ya Tashbihi, vitendawili, milio na mshangao (K.W wamitila)

Darubini ya Kiswahili kitabu cha mwanafunzi uk 138

Mwongozo wa mwalimu uk 87

Sarufi fafanuzi ya Kiswahili

Chati (vihusishi)

Wanafunzi wenyewe

Kanda ya sauti

Ubao

Vitu halisi

4/5

Kusoma

Matumizi ya lugha na mbinu nyiinginezo katika ushairi (Fasihi andishi)

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kutaja na kueleza maana ya msamiati wa mashairi

(b)  Kufafanua mbinu ambazo ghalabu hutumika katika mashiri

(c)  Kusoma shairi na kujibu maswali

Kueleza

Kusoma makala kitabuni

Kujadili

kuandika

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 226-231 Mwongozo wa mwalimu uk 171173

ahili

Fasihi simulizi kwa shule za sekondari

Kichechocheo cha Fasihi simulizi na Andishi

Kamusi ya methali

Kamusi ya fasihi

Kamusi ya misemo na nahau (K.W wamitila

Taaluma ya ushairi

Miale ya ushairi (NES)

Nuru ya ushairi

Maashairi kitabuni

Diwani ya mashairi

Ubao

Magazeti (taifa leo)

Chati (ushairi)

6

Kuandika

Insha bora

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

Kuandika

Chemchemi za

Vyakula kitabuni

(a)  Kutofautisha baina ya uandishi wa isha na uandishi wa kikamilifu

(b)  Kutambua hatua muhimu za kuandika kila aina ya insha

(c)  Kuandika insha ya kusisimuliza

Kujadili

Majibu na kusahihisha makosa

Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk (sehemu ya kuandika) Mwongozo wa mwalimu uk 186

Karunzi ya kiwahili (sehemu za insha)

Isnha kabambe (mutali Chesebe)

Golden Tips Kiswahili

Diwani ya mashairi

Ubao

Magazeti (taifa leo)

Chati (mtindo muundo)

6

1

Kusoma (mazoezi ya marudio)

Ufupisho (jaribio III, IV

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kusoma kifungu na kutoa hoja m uhimu

(b)  Kufupisha kifungu kwa kuunganisha hoja muhimu

Kusoma

Kuandika

Kujadilii majibu na kusahihisha

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 247-255 Mwongozo wa mwalimu uk 186198

Karunzi ya kiwahili

(sehemu ya ufupisho)

Kamusi ya Kiswahili

Wanafunzi wenyewe

Ubao

Magazeti

2

Kusikiliza na kuzungumza

Vifungu vya Isimu-jamii majaribio I-IV

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kusoma vifungu kwa makini

(b)  Kueleza muktadha na sajili za vifungu husika

(c)  Kujibu maswali ya Isimu-jamii kwa usahihi

Kusoma ghibu

Kuandika majibu

Kusahihisha

Kujadili majibu na masahihisho

Kuandika majibu sahihi ubaoni

kuigiza

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 233-255 Mwongozo wa mwalimu uk 175198

Kamusi ya Kiswahili

Isimu-jamii kwa shule za sekondari

Mwanafunzi wenyewe

Ubao

Chati (muktadha mbali mbali)

3

Sarufi na matumizi ya lugha

Uchanganuzi wa

sentensi

changamano

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kuchanganua sentensi changamano

(b)  Kuunda nomino kutokana na nomino au vitenzi

(c)  Kujibu maswali ya vipengele vya 'a' na 'b' kwa usahihi

Kueleza

Maswali ya dodoso

Kujadili

Kuandika madaftarini

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 225-227 Mwongozo wa mwalimu uk 168170

Karunzi ya kiwahili

Kamusi ya Kiswahili

Golden Tips Kiswahili

Michoro ya uchanganuzi

Chati (nomino na vitenzi

Ubao

4/5

Kusoma

Maswali ya Fasihi

Kufikia mwisho wa funzo,

Kusoma ghibu

Chemchemi za

Wanafunzi

majaribio I-IV

mwanafunzi aweze

(a)  Kusoma maswali na kueleza yanayohitaji

(b)  Kujibu maswali kwa usanifu

(c)  Kujirekebisha alikokosea

Kueleza

Kujadili

Kuandika madaftarini

Kusahihisha

Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 233-260 Mwongozo wa mwalimu uk 178195

Fasihi simulizi kwa shule za sekondari

Kichechocheo cha Fasihi simulizi na Andishi

wenyewe

Magazeti

Hadithi vitabu teule vya fasihi

Magazeti

Chati (tanzu za fasihi)

6

kuandika

Maswali ya insha Jaribio I-IV

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  Kufafanua uandishi bora wa insha

(b)  Kuandika insha kikamilifu

(c)  Kubainisha makosa yake na kujirekebisha

Kujadili vidokezo

Kuandika

Kujadili makosa na kujirekebisha

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 233-260 Mwongozo wa mwalimu uk 178198

Karunzi ya kiwahili

Insha kabambe (simon mutali)

Golden Tips Kiswahili

Fasihi simulizi kwa shule

Maswali kitabuni

Ubao

Chati (aina za insha

Nakala za insha bora

7

1-6

majaribio

Jaribio I Jaribio II Jaribio III

Sarufi na matumizi ya lugha

Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze

(a)  Kufanya masahihisho sahihi kwa maswali ya juma la 6

(b)  Kubainisha upungufu wake na kujiimarisha

Kusoma

Kuandika majibu

Kusahihisha

Kujadili majibu sahihi

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk 236,243,250 Mwongozo wa mwalimu uk 175193

Karunzi ya kiwahili

Wanafunzi wenyewe

Ubao

Chati (vipengele muhimu)

8

1-6

Marudio

Jaribio IV (sarufi) Karatasi za awali za K.C.S.E (hasa ya 2010) na za mwiyo

Kufikia mwisho wa funzo, mwanafunzi aweze

(a)  kutambua muundo wa mtihani wa K.C.S.E na jinsi ya kukabili maswali

(b)  Kujamini kwa uwezo wa kupasi

Kusoma

Kutoa majibu

Kusahihisha

Kujadili matokeo ya majibu sahihi

Chemchemi za Kiswahili

Kitabu cha wanafunzi 4 uk Mwongozo wa mwalimu uk

Karunzi ya kiwahili

Golden Tips Kiswahili

Ijaribu na uikarabati

Wanafunzi wenyewe

Nakala za karatasi za awali (k.c.s.e)

Ubao